- 632 viewsDuration: 1:22Naibu Rais Kithure Kindiki amezitaka nchi za Afrika kulinda miradi ya maendeleo ya muda mrefu dhidi ya mabadiliko ya kisiasa, akionya kuwa kukosekana kwa mwendelezo wa sera ni miongoni mwa vikwazo vikubwa vinavyokwamisha maendeleo ya Bara Afrika.