Skip to main content
Skip to main content

Kindiki atawazwa msemaji wa Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    5,742 views
    Duration: 2:43
    Hisia zimeibuka saa chache baada ya hafla kuandaliwa kumtawaza Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki kuwa msemaji wa eneo la Mlima Kenya. Katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa Kirigiti, Kaunti ya Kiambu, Kindiki ameahidi kuunganisha jamii ya Mlima Kenya ili kusimama pamoja. Hata hivyo, baadhi ya wanasiasa wa Mlima Kenya wameitaja hafla hiyo kuwa isiyokuwa na uungwaji mkono wa sauti za kuheshimika katika eneo hilo.