Skip to main content
Skip to main content

Kindiki awaonya wanasiasa dhidi ya siasa za uhuni

  • | Citizen TV
    1,340 views
    Duration: 1:13
    Kwa mara nyingine tena, Naibu Rais Prof. Kithure Kindiki amewaonya wanasiasa nchini dhidi ya siasa za uhuni, hasa wakati huu tunapoelekea uchaguzi mkuu. Akizungumza eneo la Othaya, kaunti ya Nyeri, alikofika kukagua miradi ya serikali na kuzindua ujenzi wa barabara ya Giathenge kuelekea Witima, Kindiki amesisitiza kuwa hakuna mwanasiasa atakayeruhusiwa kuendesha magenge kukabiliana na wapinzani. Pia amewataka wapinzani wake eneo la Kati kukomesha siasa za kuvunja heshima.