21 Sep 2026 1:38 pm | Citizen TV 474 views Duration: 1:42 Naibu Rais Kithure Kindiki amezindua miradi ya maendeleo katika Kaunti ya Tharaka Nithi. Kindiki pia amewataka wanasiasa kuheshimu wito wa wazee wa kuhimiza umoja.