Skip to main content
Skip to main content

Kindiki na viongozi wa ODM watetea serikali kuhusu mzozo wa mafuta

  • | Citizen TV
    1,641 views
    Duration: 3:32
    Naibu Rais Kithure Kindiki amewaongoza viongozi wanaounga mkono serikali kutetea utendakazi wa Rais William Ruto licha ya mgogoro ulioibuka kufuatia kuongezwa kwa bei ya mafuta. Aidha, viongozi wa ODM chini ya mrengo wa Linda Ground wakiwataka wakenya kuwa na subira, wakati serikali ikitafuta suluhu wa kudhibiti gharama ya juu ya maisha, wakiwakashifu wenzao wa upinzani kwa kuingiza siasa kwenye swala la mafuta