Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi anayeolipwa mshahara mkubwa zaidi duniani

  • | BBC Swahili
    24,928 views
    Duration: 1:33
    Singapore inaamini hivyo ndiyo maana inapanga kuongeza mishahara ya viongozi wake, huku Waziri Mkuu Lawrence Wong akitarajiwa kulipwa hadi dola milioni 2.8 za Marekani kwa mwaka. Lakini swali ni je, kumlipa kiongozi vizuri kunatosha kumfanya akatae rushwa? Mwandishi wa BBC @scolar_kisanga na taarifa zaidi: #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw