21 Aug 2026 1:16 pm | Citizen TV 638 views Duration: 1:20 Kiongozi wa chama cha The We Alliance Party (TWAP) James Kamau atangaza azma yake kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka ujao akisema wakati umefika kwa vijana kutwaa uongozi wa taifa hili na kupeleka taifa mbele