Skip to main content
Skip to main content

Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua asema upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urai

  • | Citizen TV
    11,053 views
    Duration: 1:57
    Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua amewahakikishia Wakenya wanaoishi nje ya nchi kwamba upinzani utakuwa na mgombea mmoja wa urais atakayepambana na Rais Ruto mwaka ujao.