12 Oct 2026 10:42 am | Citizen TV 868 views Duration: 1:35 Kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Kilifi Ibrahim Abdi Sasa anawataka maafisa wa usalama kukoma kuhangaisha wafanya biashara ndogo ndogo eneo la Watamu kaunti hiyo.