25 Sep 2026 10:17 am | Citizen TV 2,324 views Duration: 2:38 Viongozi wa upinzani wanazidi kuishinikiza tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC kuhakikisha kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa huru na wa haki baada ya madai ya wizi wa kura katika chaguzi zilizopita kuchipuka.