Skip to main content
Skip to main content

Kirinyanga: Serikali yatoa onyo kwa wakazi waomiliki ardhi katika shamba la Ngariama Kusini

  • | NTV Video
    353 views
    Duration: 1:57
    Serikali ya Kaunti ya Kirinyanga, imetoa onyo kwa wakazi wanaodai umiliki wa ardhi katika Shamba la Ngariama Kusini lenye ukubwa wa ekari 17,000 dhidi ya kuwasilisha stakabadhi bandia wakati wa zoezi la siku nne linaloendelea la uthibitishaji. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya