Skip to main content
Skip to main content

Kisiwa cha Taiwan kina umuhimu gani kwa China na Marekani?

  • | BBC Swahili
    19,242 views
    Duration: 2:11
    Taiwan ni kisiwa cha watu milioni 23 chenye serikali yake, lakini sehemu kubwa ya dunia haiitambui kama nchi huru. Kwa miongo kadhaa Taiwan imejikuta ipo katikati ya China na Marekani ambazo zote zinaona kisiwa hicho ni muhimu kimkakati. Je kwanini kisiwa hiki ni muhimu kwa nchi hizo? Bosha Nyanje anaelezea #bbcswahili #marekani #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw