Skip to main content
Skip to main content

Kitale Wool yaandaa warsha ya kukuza vipaji katika sekta ya mitindo

  • | Citizen TV
    712 views
    Duration: 2:57
    Kampuni ya Kitale Wool imeandaa warsha ya kuonyesha mitindo, ikiwa na lengo la kukuza ubunifu na vipaji katika sekta ya ushonaji na mitindo. Warsha hiyo pia inalenga kuwawezesha vijana kutumia ujuzi wa mitindo kujiajiri na kuunda fursa za ajira.