- 162 viewsDuration: 1:33Kituo cha demokrasia ya vyama vingi (CMD) imekutana na wanahabari kutangaza maandalizi ya mwisho ya toleo la nanane la tamasha ya majadiliano ya wananchi . Jukwaa hilo la kitaifa la siku nne linalenga kukuza majadiliano yenye mpangilio Jumuishi na yanayozingatia masuala muhimu miongoni mwa wakenya.