- 136 viewsDuration: 1:21Wakazi wa mji wa Nandi Hills wanatarajiwa kunufaika pakubwa na huduma za kidijitali kufuatia serikali ya kitaifa kuzindua ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Kidijitali cha Jitume. Mradi huo wa thamani ya shilingi milioni 30 unalenga kuwapa vijana ujuzi wa kidijitali pamoja na kuwaunganisha na fursa za ajira mtandaoni kupitia mpango wa Jitume.