23 Sep 2026 10:55 am | Citizen TV 398 views Duration: 1:30 Serikali kupitia wizara ya kilimo na ufigaji sasa imepata mwekezaji wa kibinafsi ambaye atasimamia kituo cha wanyama ambao watasafirishwa katika mataifa ya kigeni eneo la Bachuma kaunti ya Taita Taveta.