Skip to main content
Skip to main content

Kiunjuri atoa wito kwa Ruto kuhakikisha Kindiki asalia kuwa mgombea wake

  • | NTV Video
    543 views
    Duration: 55s
    Kiongozi wa chama cha Service Party, TSP, Mwangi Kiunjuri ametoa wito kwa Rais William Ruto kuhakikisha kuwa naibu rais Kithure Kindiki amesalia kuwa mgombea wake mwenza katika uchaguzi mkuu ujao wa mwaka wa 2027. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya