Skip to main content
Skip to main content

Kiunjuri - TSP haitavunjwa licha ya kumuunga mkono Ruto 2027

  • | Citizen TV
    641 views
    Duration: 1:04
    Kinara wa chama cha TSP, Mwangi Kiunjuri, amesema chama chake hakitavunjwa na kujiunga na UDA licha ya kumuunga mkono Rais William Ruto katika uchaguzi ujao. Kiunjuri ametoa wito wa ushirikiano miongoni mwa vyama vinavyounga mkono serikali, huku akimshtumu kinara wa DCP, Rigathi Gachagua, kwa kuwadhunisha viongozi wengine na kuchochea wananchi dhidi ya serikali.