Skip to main content
Skip to main content

KMPDU yaunga mkono marufuku ya madaktari wa kigeni nchini

  • | Citizen TV
    396 views
    Duration: 2:53
    Muungano wa Madaktari nchini KMPDU umeunga mkono agizo la Waziri wa Afya Aden Duale kupiga marufuku leseni za madaktari wa kigeni humu nchini. KMPDU ikisema kuwa madaktari wengi wa kigeni wanaohudumu humu nchini wanadhulumiwa kwa mishahara ya chini na kutumika vibaya