Skip to main content
Skip to main content

KNUT yaonya dhidi ya kuingizwa kwa siasa katika mijadala ya miswada ya elimu

  • | Citizen TV
    421 views
    Duration: 1:25
    Chama cha Walimu nchini KNUT kimeonya dhidi ya kuingizwa kwa siasa katika mjadala kuhusu miswada mipya ya elimu, hususan suala tata la usimamizi wa shule za sekondari msingi, JSS, katika shule za msingi.