- 8,122 viewsDuration: 50sTazama mnyama huyu komba wa bukini mwenye umri wa miaka mitano jinsi anavyofurahia kuota jua la asubuhi. Wanyama hawa, tabia yao ya asili hujumuisha kuota jua mapema asubuhi, Je ni kwanini? @frankmavura anaelezea #bbcswahili #wanyamawaporini #lemur Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw