Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la 38 la kitaifa kuhusu utekelezaji haki laingia siku ya pili jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    349 views
    Duration: 6:33
    Kongamano la 38 la kitaifa kuhusu utekelezaji wa haki laingia siku ya pili jijini Mombasa. Jaji mkuu Martha Koome, makatibu na wakuu wa asasi za usalama waendelea kujadili mbinu na mikakati ya kukabiliana na ongezeko la visa vya dhulma za kijinsia kwa watoto nchini.