Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la afya laendelea Nairobi huku serikali ikieleza hatua za kuboresha huduma

  • | Citizen TV
    351 views
    Duration: 2:41
    Naibu rais profesa kithure kindiki anatarajiwa kufunga rasmi kongamano la afya la siku mbili linaloendelea hapa jijini nairobi. wadau katika sekta ya afya wanaangazia changamoto zilizopo, hatua zilizopigwa na jinsi ya kuboresha huduma za afya nchini.