Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la kimataifa la watafiti kuhusu urithi wa asili lafunguliwa Nakuru

  • | Citizen TV
    212 views
    Duration: 4:07
    Kongamano la awamu ya 10 la wanasayansi,watafiti,wasomi, na wataalam kuhusu habari za jadi na chimbuko la mimea, wanyama na binadamu limeanza rasmi jijini Nakuru. Evans Asiba Yuko huko na sasa tunaungana naye Mubashara kutoka Nakuru kwa mengi zaidi.