17 Sep 2026 2:00 pm | Citizen TV 674 views Duration: 2:11 Kongamano la kwanza la wawekezaji Afrika Mashariki limefanyika jijini Nairobi. Kongamano hilo linalenga kukuza biashara, uwekezaji na ushirikiano kati ya sekta binafsi katika ukanda wa Afrika Mashariki.