Skip to main content
Skip to main content

kongamano la mwaka huu kuhusu uunganishaji Afrika kidijitali kuandaliwa Nairobi

  • | KBC Video
    85 views
    Duration: 2:29
    Kenya inaweza tu kuafikia ruwaza yake ya kuwa nchi iliyostawi kwa kutekeleza hatua kadhaa ikiwa ni pamoja na kutumia sayansi na teknolojia kupitia kwa ufadhili wa utafiti na ubunifu, kuhamisha teknolojia na kufanya biashara ya utafiti na ubunifu. Akiongea wakati wa mkutano wa wadau leo kabla kuanza kwa wiki ya Sayansi, teknolojia, utafiti na ubunifu, katibu wa sayansi, utafiti na ubunifu, Prof. Shaukat Abdulrazak, alikariri kwamba Kenya iko kwenye mwelekeo ufaao lakini ushirikiano zaidi unahitajika kutoka kwa wadau wa sekta hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive