- 4,236 viewsDuration: 1:21Mmamlaka ya ukunsanyajai ushuru imesema haijaongeza ushuru wa biashara ila inatekeleza tu yaliyopitishwa na bunge. kamishna wa forodha wa KRA Lilian Nyawanda ameyasema hayo kujibu malalamiko ya wafanyabaisha hapa jijini Nairobi