- 201 viewsDuration: 1:52Kundi la waendesha baiskeli almaarufu Great Africa Cycling Safari kutoka jumuiya ya Afrika Mashariki limo mbioni kukamilisha safari ya siku 55 yenye kilomita 6400 katika mataifa ya Uganda, Kenya Tanzania, Burundi pamoja na Rwanda.