18 Sep 2026 1:45 pm | Citizen TV 399 views Duration: 1:55 Vyama vya walimu vya KUPPET na KNUT vimetofautiana kuhusu usimamizi wa shule za Junior Sekondari msingi, huku vyama hivyo viwili vikitoa misimamo kinzani kuhusu mahali ambapo shule hizo zinafaa kusimamiwa.