18 Sep 2026 1:42 pm | Citizen TV 446 views Duration: 1:57 Maafisa wa KUPPET wameeleza wasiwasi wao kuhusu Mswada wa Elimu ya Msingi. Walimu wanataka mchakato wa kukusanya maoni kutoka kwa wadau uwe wa wazi na shirikishi.