Skip to main content
Skip to main content

Kuria afichua madai ya mikakati ya ushindi wa Uhuru 2013 na 201

  • | Citizen TV
    22,589 views
    Duration: 2:34
    Waziri wa zamani Moses Kuria amepasua mbarika kuhusu kile anasema ni mikakati iliyompa rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ushindi wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2013 na 2017. Kuria sasa akidai kuwa njama ilipangwa kuzuiwa kurejelewa kwa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2013, mbali na ukarabati wa sava za tume ya uchaguzi. Haya yanajiri pia huku kinara wa ODM Oburu Odinga akimsuta rais mstaafu kwa matamshi yake kuhusu uchaguzi mkuu uliopita,