22 May 2026 2:22 pm | Citizen TV 142 views Duration: 1:49 Mamlaka ya Maendeleo ya Bonde la Kerio (KVDA) yazindua miradi mbalimbali ya maji na kilimo katika kaunti ya Pokot Magharibi kwa lengo la kuboresha maisha ya wananchi.