17 Sep 2026 10:25 am | Citizen TV 620 views Duration: 2:19 Kamati za kukabiliana na majanga katika maeneo yanayokumbwa na mafuriko kaunti ya Kwale zimeanza kupokea mafunzo kuhusu mbinu za kukabiliana na matukio ya dharura.