- 1,618 viewsDuration: 5:32Msongo wa mawazo unaweza kuwa na athari za kushangaza kwenye ngozi yako, ukibadilisha jinsi inavyoonekana - Unapokuwa na msongo wa mawazo, mwili wako hutoa homoni ambazo zinaweza kusababisha chunusi, ukavu wa ngozi, vipele au matatizo mengine ya ngozi. Wanasayansi wamegundua kwamba kuna uhusiano mkubwa kati ya akili na ngozi yako. Kuelewa uhusiano huu kunaweza kukusaidia kudhibiti msongo wa mawazo na kutunza ngozi yako vizuri zaidi. Omary Mkambala anaelezea kwa kina 00:00 - 00:15 Uhusiano kati ya msongo wa mawazo na ngozi yako 00:15 - 00:34 Msongo wa mawazo katika mchakato wa mageuzi 00:35 - 00:52 Jinsi msongo wa mawazo unavyofanya kazi kwenye ubongo: 01:00 - 01:30 Jinsi msongo yanavyoathiri kinga ya ngozi 01:30 - 01:47 Ukavu wa ngozi na muwasho 01:55 - 02:21 Jinsi wanasayansi wanavyosoma athari za msongo kwenye ngozi 02:21 - 02:34 Msongo, kuwasha na mzunguko wa kujikuna 02:35 - 02:52 Msongo unaweza kufanya ngozi iwe rahisi kupata maambukizi 02:52 - 03:11 Je, msongo unaweza kusababisha chunusi? 03:11 - 03:20 Jinsi msongo unavyoongeza chunusi, 03:20 - 03:33 Msongo wa mawazo, uzee na makunyanzi 03:40 - 04:00 Kupunguza msongo ili kuboresha ngozi: nini husaidia 04:00 - 04:20 Vidokezo vya utunzaji wa ngozi na maisha kulinda ngozi yako 04:20 - 04:53 Inachukua muda gani kuona matokeo? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw