Skip to main content
Skip to main content

Kwanini wakristo wanauawa Makanisani DRC?

  • | BBC Swahili
    5,588 views
    Duration: 4:58
    Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) hivi karibuni imekuwa uwanja wa mateso, hofu, na umwagaji damu unaoendelea bila kikomo. Katika mazingira ya mizozo ya muda mrefu, vikundi vya waasi wenye silaha kama ADF (Allied Democratic Forces) na M23, vinahusishwa moja kwa moja na mauaji ya halaiki, hasa dhidi ya Wakristo. Je ni kwanini wamekuwa wakiwalenga wakristo Makanisani DRC? David Nkya anaelezea #bbcswahili #DRC #wakristo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw