9 Sep 2026 2:52 pm | Citizen TV 22,114 views Duration: 1:21 Maafisa wa KWS wamekamata mizoga ya dikdik na swara katika eneo la Bohodhe, Garissa, katika operesheni dhidi ya uwindaji haramu.