14 Oct 2026 10:23 am | Citizen TV 789 views Duration: 1:27 Kaunti ya Uasin Gishu inapojiandaa kuwa mwenyeji wa sherehe za kitaifa za mashujaa Dei,shirika la wanyama pori nchini la KWS limetoa wito kwa wakenya kuzuru vivutio vya utalii katika juhudi za kukuza utalii wa humu nchini.