- 321 viewsDuration: 2:23Siku ya Kimataifa ya Upanzi wa Mikoko imeadhimishwa kote duniani. Hapa nchini, hafla ya kitaifa iliandaliwa Kaunti ya Lamu huku wakazi wakihimizwa kupanda mikoko zaidi ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Rahma Rashid anatuarifu zaidi.