Katika Kaunti ya Uasin Gishu, wakazi na wahudumu wa afya (CHPs), eneo la Langas wameeleza wasiwasi wao kuhusu uendeshaji wa Hospitali ya Langas Racecourse Nursing Home, wakidai kuwa wanakosa baadhi ya huduma muhimu za matibabu na kulazimika kulipa ada wanazosema ni za juu kuliko uwezo wao.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya