Skip to main content
Skip to main content

'Lazima utawala wa sheria uzingatiwe' -Mkuu wa Jeshi la Tanzania Jenerali Jacob Mkunda #maandamano

  • | BBC Swahili
    47,524 views
    Duration: 2:06
    Mkuu wa Majeshi ya Tanzania amelaani vitendo vya vurugu vinavyoendelea kote nchini na kuvitaja kuwa ni kinyume cha sheria. - Katika hotuba yake iliyorushwa na televisheni ya taifa, Jenerali Jacob John Mkunda amesema kuwa jeshi litashirikiana na vyombo vingine vya usalama kudhibiti hali ya usalama. - - - #tanzania #uchaguzi2025 #bbcswahili #maandamano #siasa #vijana #jwtz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw