- 9,970 viewsDuration: 1:56Gavana Joseph Ole Lenku anatarajiwa kuwaongoza wakazi wa Kajiado County, wakiwemo wafanyabiashara, vijana na wazee kutoka jamii ya Maa, katika harambee ya kuchangisha shilingi milioni 16 za kugharamia faini aliyotozwa mwanahabari mmoja wa eneo hilo.