- 673 viewsDuration: 52sKuanza kwa Ligi Kuu ya FKF msimu wa 2026/27 kumeahirishwa tena, baada ya Shirikisho la Soka nchini, FKF, kusitisha mechi za ufunguzi zilizopangwa kuchezwa Jumamosi ya leo. Hatua hiyo imechukuliwa kufuatia mvutano wa kisheria kuhusu sheria za kupanda na kushuka daraja.