Skip to main content
Skip to main content

Linda Mwananchi limetishia kulemaza shughuli za ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa

  • | NTV Video
    14,525 views
    Duration: 3:09
    Kundi la ‘Linda Mwananchi’ limetoa onyo kali kwa msajili wa vyama vya kisiasa nchini likimtaka kusajili chama chao mara moja, likitishia kulemaza shughuli za ofisi hiyo kuanzia juma lijalo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya