- 27,758 viewsDuration: 1:07Mwenyekiti wa chama cha upinzini nchini Tanzania CHADEMA Tundu Lissu, amepandishwa kizimbani, Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, kwa ajili ya kesi ya uhaini inayomkabili, kwa ajili ya usikilizwaji wa awali (preliminary hearing - PH). Lissu, alikamatwa mwezi Aprili na kushtakiwa kwa uhaini. #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw