- 655 viewsDuration: 2:29Chama cha mawakili nchini LSK kimekashifu agizo la mahakama kuu ya nakuru kuwazuia mawakili wa kibinfasi kuwakilisha idara za serikali mahakamani. Chama hicho kinadai uamuzi huo unaashiria vita dhidi ya taaluma ya uanasheria na utumizi mbaya wa mamlaka ya idara ya mahakama. LSK, sasa ikisema itapinga uamuzi huo