- 846 viewsDuration: 2:27Luminous FC wameibuka mabingwa wa michuano ya soka ya Chamgei FM, iliyoandaliwa kwa ushirikiano na Shabiki.com katika uwanja wa Shule ya Upili ya Kapsoit, Kaunti ya Kericho. Hafla hiyo pia iliandaliwa kusherehekea ushindi mkubwa wa Franklin Kipyegon wa shilingi milioni 5.49 kupitia mchezo wa Aviator kwenye Shabiki.com. Kipyegon, ambaye ni mtaalamu wa afya, anasema atapanua biashara yake ya maabara.