Skip to main content
Skip to main content

M23 yadai kuteka Uvira: Mpango wa Trump matatani?

  • | BBC Swahili
    20,935 views
    Duration: 1:01
    Kundi la waasi la M23 nchini DRC limethibitisha kwamba limeuteka mji wa Uvira ambao ndio wa pili kwa ukubwa katika jimbo la Kivu Kusini. Msemaji wa M23 Lawrence Kanyuka anasema wamechukua hatua hiyo kutokana na wapiganaji wa kundi hilo kulengwa na kushambuliwa na vikosi vya jeshi la serikali FARDC. Haya yanajiri siku chache tu tangu marais wa Rwanda na DRC kutia saini mkataba wa amani almaarufu 'Washington Accord' uliosimamiwa na rais wa Marekani Donald Trump. @RoncliffeOdit anatathmini tukio hili kwa kina saa 3 usiku kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. - - #bbcswahili #DRC #rwanda #trump #m23 #Uvira #burundi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw