Skip to main content
Skip to main content

Maabara kuu ya serikali yapokea cheti cha ISO/IEC 17025

  • | Citizen TV
    174 views
    Duration: 1:57
    Maabara kuu ya serikali imepokea rasmi cheti cha idhibati cha ISO/IEC 17025 , hatua inayolenga kuimarisha uaminifu wa ushahidi wa kisayansi unaotumika katika uchunguzi wa uhalifu, kesi za mahakamani na masuala ya afya ya umma.