26 May 2026 10:19 am | Citizen TV 998 views Duration: 1:30 Huku siku ya Madaraka Dei yakaribia, shamrashamra zimeshuhudiwa katika maeneo mbalimbali ya kaunti ya Wajir ambako sherehe za kitaifa zafanyika kwa mara ya kwanza katika eneo hilo.