22 Sep 2026 10:25 am | Citizen TV 351 views Duration: 2:03 Maafisa tabibu katika Kaunti ya Lamu bado hawajafikia makubaliano na uongozi wa kaunti. Mzozo huo umeendelea huku pande hizo zikijadiliana kuhusu madai ya wahudumu hao.